Notre journaliste Jean Bigirimana porté disparu depuis 3576 jours. Nous ne l'oublions pas.

Wabunge wanawake 2 kutoka Cndd-fdd waiaga dunia katika ajali ya gari huko kaskazini mwa Burundi

Wabunge 2 ikiwa ni pamoja na Bii Marie Thérèse Minani na Bii Justine Kamariza kutoka chama tawala cha CNDD FDD walioteuliwa mkoani Kirundo kaskazini mashariki mwa Burundi wameiaga dunia leo hii tarehe 16 sepetemba 2011 nyakati za alasiri katika ajali ya gari kwenye barabara kutoka Ngozi kaskazini mwa Burundi kuelekea mkoani mwao.

Wabunge hao walikuwa wakijeelekeza mkoani mwao huko Kirundo. Dereva wa gari hio na mtoto moja wamefariki dunia pia katika ajali hio. Duru za kuaminika kutoka mkoani Ngozi zasema motokari ya wabunge hao imegongwa na lori.

MENU