Malori ya Burundi « yapewa uraia » wa Tanzania
Wafanyabiashara wa Burundi wenye malori bada ya malalamiko yao kua ushuru unaotozwa kwa kuingia nchini Tanzania ni ghali waamua kubadilisha na kupachika pleti namba za Tanzania. Kwa mujibi wa baadhi ya madereva, wakati huu watu watapumua, heri kua na lori yenye pleti namba ya Tanzania kuliko kua na lori yenye pleti namba ya Burundi sababu […]