Raia wanaoshakiwa kuendesha ’’vitendo vya kigaidi’’ wazidi kukamatwa
Msako ulioanzishwa na polisi kwa ushirikiano na idara ya upelelezi tangu wiki iliyopita umeisha pelekea watu wasiopungua 45 pakiwemo mwandishi wa redio Bonesha FM, Hassan Ruvakuki kutiwa ndani. Msako huo ni hasa katika mikoa ya Muyinga, Ngozi, Karuzi n Cankuzo. Baadhi ya watu hao ni waalimu, na ni wafuasi wa chama cha FNL watiifu wa […]