Mabadiliko ya serekali nchini Burundi
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi, alifanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri hapo ijuma tatu novemba 7, Mawaziri 4 ni wapya katika baraza hilo, mawaziri wengine 6 pakiwemo waziri wa Usalama, Alain Guillaume Bunyoni na waziri wa Mambo ya kigeni, Augustin Nsanze wametolewa madarakani walakin tayari vigogo hao 2 pamoja na mhandisi Saïd Kibeya wameisha […]