Ban Ki-moon anaomba kutumwe nchini Somalia askari wa ziada wapatao 2500
Hayo ni katika maagizo yaliyotolewa kwenye mkutano kuhusu mzozo wa Somalia uliofanyika bada ya Kikao cha 66 cha Umoja wa Mataifa huko New York. <doc1430|left>Mkutano huo ulihudhuriwa na wajumbe kutoka Burundi, Somalia, Uhispania, Sudan, Sweden, Uturuki, China, Danemark, Djibouti, Ethiopia, Ufaransa, Ujeremani, Italy, Japan, Kenya, Norway, Urusi, Saud Arabia, Uganda, Umoja wa Afrika, Uingereza, Umarekani, […]