|
FORSC yatoa wito kwa rais ili muswada wa sheria ya Tume ya Ukweli na Maridhiano urekebishwe |
|
|
Muungano huo wa mashirika ya kiraia, FORSC unabaini kua umekwishamtumia rais wa Jamhuri mapendekezo ya mabadiliko yanatakiwa kwenye muswada huo kabla ya kupasishwa bungeni. Kando ya hayo muungano huo umemtumia pia rais wa Jamhuri muswada wa sheria ya Mahakama Maalum kwa ajili ya Burundi. Pacifique Nininahazwe. ©Iwacu
Mapendekezo hayo ya Muungano huo wa mashirika ya kiraia yanatolewa baada Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Mauaji ya Gatumba/Majina ya afisa wa ngazi za katika idara za usalama yawekwa wazi mahakamani |
|
|
Wakati kesi kuhusu mauaji hayo ya Gatumba yaliyopelekea watu 39 kumaliziwa maisha hapo septemba 18 ikiendelea, mahabusi muhimu katika faili hio ambao ni pamoja na Innocent Ngendakuriyo maarufu Nzarabu na luteni François Niyonkuru wanabaini kua njama zote zilizopelekea hata mauaji hayo kutokea, waandalizi ni afisa wa idara za usalama pakiwemo idara ya upelelezi. Wanatupilia mbali shutma dhidi Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Maaskofu waombwa kusimamia mazungumzo kati ya serekali na upinzani |
|
|
Ombi hilo ni la shirika liitwalo OAG linalifuatilia utekelzaji wa mipango ya serekali na hayo ni baada ya maaskofu hao wa kikatoliki kuwatolea wito wanasiasa wa Burundi wakiwaomba waketi kwenye meza ya mazungumzo na wafanye kila waliwezalo ili watupilie mbali na walani vikali, wote kwa ujumla, wanaochochea vita na wanaokiuka haki za binadamu hasa wanaozidi kuendesha mauaji. Bii Gertrude Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Mapigano makali yazuka Mogadishu |
|
|
Kwa mujibu wa duru za kuaminika, serekali ya mpito ya Somalia inabaini kua wapiganaji 6 wa kundi la Al-Shabaab waliuawa hapo alhamisi disemba 8 huko Karan na Huriwa kaskazini mwa mji wa Mogadishu katika mapigano kati ya wapiganaji hao na askari wa serekali ya mpito wanaoungwa mkono na vikosi vya Umoja wa Afrika.
Mmoja kati ya wasemaji wa kundi hilo anakiri kua kuliuawa askari 9 wa Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Cankuzo au Guantanamo ? |
|
|
Raia wanaoshakiwa kuendesha ’’vitendo vya kigaidi’’ wazidi kukamatwa na wote kwa ujumla wanapelekwa huko Cankuzo, mashariki mwa Burundi kulikozuka ’’kundi lipya la wapiganaji’’. Kanali Pierre Claver Kabirigi anadai kua kiongozi wa kundi hilo la waasi.
Kwa mujibi wa Pierre Claver Mbonimpa, kiongozi wa shirika liitwalo APRODH linalotetea haki za binadamu na za wafungwa, ni kwa mara ya kwanza Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Mauaji ya raia 2 kutoka Ulaya huko Kiremba/ Kesi yachukua mkondo mwengine |
|
|
Hakimu Rémy Nsabimana aliyesimamia kesi hio alitiwa ndani kwenye jela ya Ngozi hapo ijumapili disemba 6 jioni. Analaumiwa kuibia nyaraka fulani kwenye faili ihusuyo kesi hio ya mauaji ya Sista Manic Lucrezia kutoka Croatia na Francesco Bazzani, raia wa Italy amabao walikuwa wakitowa huduma kwe hospitali ya Kiremba, mkoani Ngozi, kaskazini mwa Burundi. Watuhumiwa ambao ni wanafunzi 2 walikatiwa Lire Plus...
|
|
[1 contributions] Commenter
|
|
Raia wanaoshakiwa kuendesha ’’vitendo vya kigaidi’’ wazidi kukamatwa |
|
|
Msako ulioanzishwa na polisi kwa ushirikiano na idara ya upelelezi tangu wiki iliyopita umeisha pelekea watu wasiopungua 45 pakiwemo mwandishi wa redio Bonesha FM, Hassan Ruvakuki kutiwa ndani. Msako huo ni hasa katika mikoa ya Muyinga, Ngozi, Karuzi n Cankuzo. Baadhi ya watu hao ni waalimu, na ni wafuasi wa chama cha FNL watiifu wa Agathon Rwasa. Hassan Ruvakuki. ©Iwacu
Kando ya shutma Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Mabadiliko ya serekali nchini Burundi |
|
|
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi, alifanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri hapo ijuma tatu novemba 7, Mawaziri 4 ni wapya katika baraza hilo, mawaziri wengine 6 pakiwemo waziri wa Usalama, Alain Guillaume Bunyoni na waziri wa Mambo ya kigeni, Augustin Nsanze wametolewa madarakani walakin tayari vigogo hao 2 pamoja na mhandisi Saïd Kibeya wameisha pewa nafasi nyingine kwenye ikulu ya Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Mwanachuoni Zéphyrin Nzoyisaba, kigeugeu |
|
|
Mwanachuoni huyo aliyekamatwa hapo oktoba 16 akiwa na silaha chumbani mwake kwenye bweni ya Mutanga, anaomba wakati huu apewe wakili mtetezi. Hayo ni bada ya kubadili kauli yake na kubaini kua yote aliyoyasema yalikuwa ni katika njama za idara za upelelezi ili viongozi wa upinzani pakiwemo Alexis Sinduhije kiongozi wa chama cha MSD na Agathon Rwasa anayebaini kua ndie kiongozi wa chama cha Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|
|
Waislamu washerehekea Id il Hajj katika mfarakano |
|
|
Malumbano ni hasa upande wa viongozi wa Jumuia ya kiislamu nchini Burundi COMIBU : kuna kundi la sheikh Sadik Kajandi anayetambuliwa na wizara ya mambo ya ndani na kundi la Al-Haj Haruna Nkunduwiga aliyeteuliwa na baraza kuu la mashehe. Sheikh Sadiki Kajandi
« Allah Akbar, Allah Akbar, Allah Akbar, Mwenyezi Mungu ni mkubwa », bada ya takbira hizo na bada ya Imam aliyeongoza swala kutowa Lire Plus...
|
(0 contributions)
Commenter sur cette article
|